Uses
- It is used for treating insect bites, cuts, burns and spots
- It is proven effective against a wide range of germs, bacteria, fungal and viruses.
- It is also used in hosipitals & saloons to sterilize equipments.
How to use
- Medical use; add 15ml Siptol to % (250ml) of water and dap with a dry gauze and cleanse the infected skin.
- For emergency use undiluted Siptol , avoiding sensitive skin.
- Midwifery; add 50mls Siptol to 2 litres of water for daily use.
- Home hygiene; 20-30ml of Siptol in your bath water is the best hygiene for any person.
- Laundry; 25ml of Siptol mixed in 1 litre of water in your washing it will kill the germs.
- For toilets, sinks, drains and domestic cleaning; undiluted Siptol should be used.
Matumizi
- Inatumika kwa kusafisha vidonda vilivyosababishwa na kuumwa na mdudu, kujikata, kuungua moto.
- Imethibitishwa kuwa ina nguvu ya kuua aina nyingi za vijidudu vya maradhi, bakteria, fungas na virusi
- Pia inatumika kusafisha sakafu, kusafisha vifaa vya hosipitali na vifaa vya saluni.
Jinsi ya kutumia
- Kwa matumizi ya kitabibu: ongeza 15mI za Siptol katika 14 (250mI) za maji na chovya kwa gozi kavu. Kisha safisha sehemu husika.
- Kwa dharura tumia Siptol ambayo haijachanganywa. Epuka sehemu dhaifu za ngozi
- Ukunga: Ongeza 50mIs za Siptol katika lita 2 za maji kwa matumizi ya kila siku
- Kwa usafi wa ngozi na kujikinga na magonjwa ya ngozi: 20-30mI za Siptol katika maji yako ya kuoga ni bora kwa usafi wa kila mtu
- Kufua: 25ml za Siptol ikiwa imechanganywa na lita 1 ya maji katika chombo cha kufulia
- Kwa kuua vijidudu vya magonjwa katika vyoo, masinki, mifereji tumia Siptol ambayo haijachanganywa.
Shop with ease and save big on high-quality Emina Siptol Antiseptic & Antibacterial (Chloroxylenol 4.8%) 250ml, available online at Tausify, Delight in the convenience of shopping from anywhere in Tanzania and find a vast array of Health Care products at unbeatable prices. Explore the extensive range of Antiseptic from Emina Tanzania and benefit from free delivery on a multitude of products. Take advantage of the smart shopping experience and substantial savings only with Tausify,
Shipping Cost |
|
Shop Location | Tanga, Tanzania |
No reviews found!
No comments found for this product. Be the first to comment!