USES
- It is tough on oil and gentle on your hands and leaves your utensils sparkling clean
HOW TO USE
- For better results, dilute 3 capfuls in 1 litre of Dishwash Liquid Soap water and use a soft sponge to clean your utensils one by one or put water in a sink or bucket and sufficient quantity of soap.
- For example 5 litres of water per 1 litre of soap.
- Clean the utensils and rinse thoroughly with clean water.
- The utensils are left clean and with no irritating smell, grease or oil.
INGREDIENTS
- De-Mineralised Water
- Non-Ionic Surfactant
- Colour & Scent
MATUMIZI
- Ina nguvu ya kuondoa mafuta bila kuharibu mikono yako na kuacha vyombo vyako visafi vinavyog'aa
JINSI YA KUTUMIA
- Kwa matokeo bora zaidi, changanya vifuniko vitatu (3) vya Dishwash Liquid Soap katika lita 1 ya maji.
- Tumia brashi laini kusafisha vyombo vyako kimoja kimoja.
- Au weka maji katika sinki au ndoo na weka kiasi cha kutosha cha sabuni.
- Mfano lita 5 ya maji kwa lita 1 ya sabuni.
- Safisha vyombo vyako na suuza vizuri na maji safi.
- Vyombo vyako vinaachwa vikiwa safi bila harufu inayokera, grease au mafuta.
Shop with ease and save big on high-quality Emina Dishwashing Liquid Soap 500ml (Flip Top), available online at Tausify, Delight in the convenience of shopping from anywhere in Tanzania and find a vast array of Dishwashing Supplies products at unbeatable prices. Explore the extensive range of Dishwashing Liquid Soap from Emina Tanzania and benefit from free delivery on a multitude of products. Take advantage of the smart shopping experience and substantial savings only with Tausify,
Shipping Cost |
|
Shop Location | Tanga, Tanzania |
No reviews found!
No comments found for this product. Be the first to comment!