USES
This product is very effective to shine, ceramic materials like: tiles, ceramic sinks, bathroom ceramic tiles and ceramic toilet bowls.
Its chemical composition can remove stains on your ceramic tiles and does not bleach the color
HOW TO USE
- Wear hand gloves and shoes to prevent skin irritation and skin chapping and use hand brush to clean the ceramic tiles, shake the bottle before use.
- For disinfection and sterilization, dilute 3 capfuls in 1 litre of water Do not mix with other detergents
- For tough stains do not dilute the product but just sprinkle sufficient on ceramic tiles and leave for 10 minutes. Scrub thoroughly and then rinse with enough water
- Do not step on the floor bare foot before it has been rinsed properly
INGREDIENTS
- De-Mineralised Water
- Non-Ionic Surfactant
- Hydrochloric Acid (Acidic Based)
MATUMIZI
- Bidhaa hii inasafisha vizuri vifaa vinavyong'aa jamii ya (Ceramic) Marumaru, masinki, vyoo n.k
- Mchanganyiko wa kemikali zake unaweza kuondoa uchafu sugu katika marumaru masinki na vyoo bila ya kuathiri rangi zake
JINSI YA KUTUMIA
- Vaa gloves na viatu kukinga ngozi isiathiriwe na tumia brashi la mkono kusafishia, tingisha chupa kabla ya kutumia
- Kwa uchafu ulio kakamaa usichanganye na maji bali sambaza vizuri katika sehemu husika, acha kwa dakika 10 kisha sugua vizuri na suuza kwa maji ya kutosha.
- Kwa usafi wa kawaida changanya vifuniko vitatu (3) katika lita moja ya maji au kadri utakavyo ona inafaa
- Safisha vizuri kwa maji ya kutosha baada ya kutumia bidhaa hii. Usikanyage bila viatu au usiguse bila gloves kabla ya kusuuzwa vizuri.
- Usitumie kuoshea mabomba na masinki ya bad
Shop with ease and save big on high-quality Emina Acidic Tile Cleaner Liquid Soap 1L, available online at Tausify, Delight in the convenience of shopping from anywhere in Tanzania and find a vast array of Cleaning Supplies products at unbeatable prices. Explore the extensive range of Tile Cleaner from Emina Tanzania and benefit from free delivery on a multitude of products. Take advantage of the smart shopping experience and substantial savings only with Tausify,
Shipping Cost |
|
Shop Location | Tanga, Tanzania |
No reviews found!
No comments found for this product. Be the first to comment!